Kikosi cha brasband cha Magereza kikiongoza Maandamao kuelekea uwanjani kwenye mahafali ya 14 ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) kwa Kampasi ya Dar es salaam na Mtwara leo jijini Dar es Salaam.Walioko nyuma ni baadhi ya wahadhiri wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA). ( Picha na Geofrey Adroph)
Mgeni Rasmi Naibu Gavana wa Benki Kuu Dkt. Natu A. Mwamba(katikati) akiongoza maandamano ya mahafali ya 14 ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) kwa Kampasi ya Dar es salaam na Mtwara leo jijini Dar es salaam. Wa kwanza kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania Dk. Joseph Kihanda.
No comments:
Post a Comment