MSIBA KANSAS CITY NA TANZANIA


TAARIFA YA MSIBA

Tunasikitika kutangaza kifo cha Inspector Lihamu Leonard Mpahi kilichotokea Njombe, Tanzania November 30th 2016. Marehemu alikuwa ni kaka wa Leonard Fungasha, Hope Gerwin, Jacquilene Leo na Josephine Mpahi wa Overland Park na Wichita, Kansas. Marehemu ameacha Mjane na watoto wawili wadogo.

Mazishi yatafanyika Lituhi, Manda Songea, Tanzania, Jumamosi December 3rd 2016. Pia misa ya kumuombea Marehemu itafanyika nyumbani kwa Fungasha, 6700 W 97th Ter, Overland Park, KS 66212
 at
 6:00 P.M. 
wote mnakaribishwa.

Kwa wale ambao hawatoweza fika msibani, unaweza toa rambi rambi zako kwa njia zifuatazo:

Bank: Wells Fargo
Routing: 101089292
Account: 5765615314
Name: Leonard Fungasha

Bank: Bank Of America
Routing: 101100045
Account: 518005559611
Name: Leonard Fungasha

Square Cash App kwa Leonard Fungasha au Hope Gerwin

Tafadhali wasiliana na wafuatao kwa maelezo zaidi:
Leonard: 316-300-0697
Hope: 913-777-6439
Jacquiline Leo: 316-573-6991
Josephine Mpahi: 316-708-7674
Fred Makubi: 316-299-3331
Dennis Shengena: 952-992-9489

BWANA AMETOA
BWANA AMETWAA
JINA LAKE LIHIMIDIWE

No comments:

Post a Comment