Kituo cha Sheria na Haki za BInadamu (LHRC) kimetoa Ripoti ya Mtazamo wa Hali ya Kisiasa Tanzania kwa mwaka 2016 ambayo miongoni mwa mambo mengi yaliyoonyeshwa katika ripo hiyo ni pamoja na mikoa iliyokumbwa na matukio mengi ya ukiukwaji wa haki za binadamu. Hapa chini ni orodha ya mikoa yenye hatari kwa wakazi wake kutokana na kukiuka haki za binadamu. Simiyu na Kaskazini...
No comments:
Post a Comment