WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema serikali inayoongozwa na Rais John Magufuli inasimamia nidhamu ya kazi na heshima kwa wananchi, hivyo kutaka kila mmoja atimize wajibu wake. Aidha, imeonya kuwa fedha za miradi ya serikali ni za moto hivyo ziachwe sifanye shughuli zilizokusudiwa, kwani zikichezewa lazima zitaunguza mtu au watu. Aliyasema hayo jana jioni alipozungumza na wananchi wa Jiji...
No comments:
Post a Comment