Adhabu za kikatili mashuleni zapigwa marufuku

Serikali imepiga marufuku tabia ya baadhi ya waalimu kutoa adhabu kali na za kikatili kwa wanafunzi na badala yake waalimu wameelekezwa kutoa adhabu kulingana na taratibu na sheria zilizowekwa. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. George Simbachawene kupitia hotuba yake iliyosomwa na Mkurugenzi Msaidizi kutoka Ofisi ya Rais katika uzinduzi wa ripoti ya elimu...
Read More

No comments:

Post a Comment