Katapila likibomoa majengo ya Baa ya Pentagon katika oparesheni ya bomoa bomoa nyumba zote zilizojengwa katika hifadhi ya Reli ya Kati eneo la Mivinjeni, Kurasini Dar es Salaam. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA
Makontena ya biashara yakiwa yamefumuliwa na katapila
No comments:
Post a Comment