CHRIS NA FAMILIA YAKE WAMFANYIA MPWA DINNER YA SIKU YAKE YA KUZALIWA CHARLOTTE, NC


Dj Luke aka Mpwa akiwa katika picha ya pamoja na shabiki wa Vijimambo Mama Mlozi ambae ni mama yake Chris (hayupo pichani) siku ya Jumamosi mjini Charlotee, North Carolina nchini Marekani
 William Mwandambo akipata chakula na mapochopocho nyumbani kwa Chris na familia yake walipo mwandalia Dinner Mpwa ya siku yake ya kuzaliwa nyumbani kwao Charlotee, North Carolina nchini Marekani.
 chakula kikiendelea
Picha ya pamoja

No comments:

Post a Comment