Rais Magufuli leo mkoani Mtwara wakati akiweka jiwe la msingi katika kituo cha kupooza umeme njia ya KV 132 amelipongeza Shirika la Umeme nchini Tanesco na kumpongeza Waziri wa Nishati na Madini, kwa juhudi zake katika kazi. Rais Magufuli amesema aliamua kumteua Sospeter Muhongo kuwa Waziri kutokana na ukweli kwamba alikuwa anaona uchapaji wake wa kazi kipindi ambacho yeye ni Waziri wa Ujenzi....

No comments:
Post a Comment