Saida Karoli Asimulia Alivyoporwa Haki Zake Katika Muziki Kisa Kutojua Kusoma na Kuandika

Jana kupitia kipindi cha Take One  cha Clouds TV, mtangazaji Zamaradi  alimuhoji mwimbaji wa muziki wa asili  Saida Karoli ambapo alikiri kuwa hana haki kwenye nyimbo zake kutokana na mikataba aliyosainishwa na Meneja wake sababu na yeye hakuwa anajua kusoma na kuandika na akadai zaidi ya album tano hana haki nazo na meneja wake wa zamani ndio mwenye haki nazo. Kingine alichozungumza...
Read More

No comments:

Post a Comment