Upelelezi Kesi Ya Kamishna Mkuu Mstaafu wa TRA, Harry Kitilya na wenzake Wasubiri Ushahidi Kutoka Ulaya

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa kuwa upelelezi uliokuwa ukifanywa ndani ya nchi ya Tanzania katika kesi ya uhujumu uchumi dhidi ya Kamishna Mkuu Mstaafu wa TRA, Harry Kitilya na wenzake umekamilika. Hayo yameelezwa na wakili wa Jamuhuri Estazia Wilson mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Cyprian Mkeha kesi hiyo ilipokuja kwa ajili ya kutajwa. Hata hivyo Wakili Wilson amedai kuwa huyo...
Read More

No comments:

Post a Comment