Jeshi la Polisi katika Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, jana liliwapiga mabomu ya machozi wanafunzi wa Shule ya Sekondari Bariadi waliokuwa wakiandamana kupinga Mkuu wa Shule yao, Deus Toga, kuhamishwa. Wakati wa maandamano hayo yaliyofanyika saa 6.00 mchana wanafunzi hao wapatao 600, walifunga barabara kuu ya Bariadi – Lamadi. Pia, shughuli mbalimbali za jamii mjini Bariadi zilisimama...

No comments:
Post a Comment