Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) imeyafunga nusu ya machinjio ya ng’ombe, kuku na nguruwe katika Manispaa za Temeke, Ilala, Ubungo na Kinondoni baada ya kufanya ukaguzi. Mkurugenzi wa TFDA, Hiiti Sillo alisema kuwa ukaguzi huo uliofanyika katika machinjio 55 kwa kushirikiana na Bodi ya Nyama, Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi na Maofisa Afya na mifugo, umebaini 26 yamekiuka kanuni...


No comments:
Post a Comment