Msafara wa Timu ya Ruvu Shooting Umepata Ajali mbele Kidogo ya Singida wakiwa safarini kurejea Dar es Salaam. Ruvu Shooting walikuwa njiani wakiokea Shinyanga walipocheza mchezo wao wa kumalizia msimu wa 2016/2017 wa Ligi Kuu soka Tanzania bara dhidi ya Stand United Taarifa kutoka kwa mmoja wa wachezaji waliokuwapo zinasema kwamba gari hilo likiwa katika Mwendo, tairi lilipasuka...


No comments:
Post a Comment