BASI LA BATCO LATEKEEA KWA MOTO KIRUMI

Basi la BATCO lenye namba za usajili T192DHW likiteketea kwa moto mapema leo Jumapili June 11, 2017  katika eneo la Kirumi kata ya Bukabwa Wilayani Butiama Mkoani Mara. Gari hilo lilikuwa linafanya safari zake kutoka Sirari,  Tarime-na Mwanza.
Basi la BATCO likiteketea kwa moto mapema leo Jumapili June 11, 2017
Motomkali ukiendelea kuliteketeza basi la BATCO mapema leo Jumapili June 11, 2017 katika eneo la Kirumi kata ya Bukabwa Wilayani Butiama Mkoani Mara. Gari hilo lilikuwa linafanya safari zake kutoka Sirari,  Tarime-na Mwanza.

No comments:

Post a Comment