Habari inayotikisa mitandao ya kijamii kwa sasa ni ile Audio (voice note/Sauti) inayodaiwa kuwa ya Muigazaji Wema Sepetu na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe inayoashiria kuwa wawili hao wana uhusiano wa kimapenzi. Leo kupitia 255 ya XXL ya Clouds FM Mbowe ameielezea sauti hiyo akisema taarifa hizo anazichukulia kama majitaka: “Mimi nalichukulia kama taarifa za kawaida za maji...
No comments:
Post a Comment