Rais John Magufuli amewapa wakazi wa Bagamoyo, eneo la Magereza lenye ukubwa wa heka 65. Rais Magufuli amechukua uamuzi huo leo (Alhamisi) wakati akihutubia katika mkutano wa hadhara katika ziara yake ya siku tatu, mkoani Pwani. Alichukua hatua hiyo baada ya wanawake waliokuwa wamebeba mabango, kumtaka awape eneo lao kwa kuwa ni wazaliwa wa Bagamoyo, ni wajane na wana uhaba wa maeneo...
No comments:
Post a Comment