Rais Magufuli Atoa Maagizo Mazito Kwa IGP Simon Sirro

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amelitaka Jeshi la Polisi nchini kutumia weledi wake kwa kiwango cha juu katika kutekeleza jukumu lake lakulinda raia na mali zao, hasa kukomesha vitendo vya uhalifu. Mhe. Rais Magufuli ametoa agizo hilo leo tarehe 02 Juni, 2017wakati akizungumza na Makamanda Wakuu kutoka makao makuu ya polisi, Makamanda wa Mikoa na Vikosi vya...
Read More

No comments:

Post a Comment