Rwanda yataka kuchukua sehemu ya anga la Tanzania

Serikali ya Rwanda imeiliandikia barua Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (ICAO) ikitaka kulidhibiti (control) eneo la Kati na Magharibi mwa anga la Tanzania. Suala hilo limekuja wakati Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) ikijitahidi kulirejesha eneo la anga la mashariki. Eneo hilo linalojumuisha Madagascar, Mauritius, Moroni na Kisiwa cha Mayotte ambalo kwa miaka 39 limekuwa likidhibitiwa...
Read More

No comments:

Post a Comment