Halima Mdee Aimagia Sifa Kenya

Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CHADEMA, Halima Mdee amefunguka kwa kuwapongeza wananchi wa Kenya kwa kuweza kubadilisha Katiba ya nchi yao ambapo leo hii imeweza kuwasaidia wafungwa kupiga kura wakiwa katika magereza yao. Mdee amebainisha hayo kupitia ukurasa wake twitter baada ya kuona picha zilizokuwa zinagaa katika mitandao ya kijamii asubuhi ya leo zikiwaonyesha baadhi...

No comments:

Post a Comment