Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jana imeelezwa kuwa jalada la kesi ya uhujumu uchumi dhidi ya aliyekiwa Mkurugenzi Mkuu Wa Vitambulisho vya Taifa (Nida), Dickson Maimu, lipo kwa DPP. Mwendesha Mashtaka, wakili wa serikali, Peter Vitalis alieleza hayo mbelw ya Hakimu Mkazi Respicius Mwijage. Alidai kuwa shauri hilo jana lilikuja kwa ajili ya kutajwa lakini jalada halisi la...
No comments:
Post a Comment