Mbowe Afunguka Mazito Akililia Demokrasia
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amemtaka Rais John Magufuli kuacha kuwafunga mdomo Watanzania na kuijenga Tanzania kuwa Taifa la hofu. Akihutubia mkutano wa hadhara katika mji wa Bomang’ombe jana, kwa takribani dakika 30, Mbowe alisema hata kama Rais atawazuia Watanzania milioni 53 kusema, basi mawe yatasema. Mbowe ambaye pia ni kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni alienda mbali na...
No comments:
Post a Comment