Askofu Gwajima Awashangaa Viongozi wa Dini Kufumbua Maovu Yayoendelea Nchini

Mchungaji Mchungaji Josephat Gwajima wa kanisa la Ufufuo na Uzima amefunguka na kudai anawashangaa viongozi wa kiroho wanaokaa kimya na kuacha masuala ya uhalifu yakiendelea katika nchi bila ya kusema lolote juu ya hilo. Mchungaji Gwajima amesema hayo akiwa Kanisa kwake leo Jumapili ambapo aliahidi kumfanyia ibada maalum ya kumuombea mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu baada ya...
Read More

No comments:

Post a Comment