Mchango wako sio lazima uwe mkubwa, unaweza kutoa kiasi chochote, nia ni kuwafikia watu wengi kadri tuwezavyo.
Unaweza kuchangia kwa kuandika Jina lako au anonymously.
Kuchangia sio tu kutawezesha Lissu apate huduma bora zaidi, bali kutatuma ujumbe
kwa watu waliofanya shambulizi ili la kinyama kwamba watanzania siku zote watasimama upande wa amani na haki.
Fuata link hapo chini kuungana na diaspora wengine kuchangia matibabu ya Lissu:
https://www.gofundme.com/Lissumedicalcare#
No comments:
Post a Comment