Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali na viongozi watatu wa Chadema wilayani Malinyi wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kufanya kusanyiko lisilo halali. Mbunge huyo amekamatwa jana Alhamisi saa 12:40 jioni akitoka kwenye kikao cha ndani cha chama hicho kilichofanyika katika Kijiji cha Makerere wilayani Malinyi. Akizungumzia kukamatwa kwa viongozi hao, Mwenyekiti wa Chadema Kanda...
No comments:
Post a Comment