Mbunge wa CCM Asimulia Alivyowadhamini CHADEMA Kupata Ndege ya Kumbeba Tundu Lissu Kumpeleka Kenya

Mbunge wa Mpendae (CCM) Salim Hassan Turky amefunguka na kusema CHADEMA ndiyo imelipa gharama za ndege iliyombeba Tundu Lissu kutoka Dodoma kwenda Kenya na kusema yeye aliwadhamini wakati huo kwa kuwa hawakuwa na fedha taslimu za kulipa Salim Hassan Turky ametoa ufafanuzi huo leo baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa Mbunge huyo ndiye aliyelipia gharama za ndege iliyombeba Tundu Lissu kutoka Dodoma...
Read More

No comments:

Post a Comment