Taasisi tatu za juu za wanasheria za Uingereza zimeungana na kumwandikia barua ya wazi Rais John Magufuli zikiomba mamlaka kufanya uchunguzi wa kina juu ya tukio la kupigwa risasi kwa Lissu na kumfutia kesi zote zinazomkabili ambazo zimekosa ushahidi wa kutosha. Barua hiyo imeandikwa juzi na kusainiwa na vigogo wa Chama cha Mawakili Uingereza (LS), Kamati ya Haki za Binadamu ya Wanasheria...
No comments:
Post a Comment