Watano Watiwa Mbaroni kwa Kumuombea Tundu Lissu

Jeshi la Polisi jijini Dar es salaam, linawashikilia watu watano kwa tuhuma za kuratibu shughuli za maombezi maalum kwa ajili ya mbunge Tundu Lissu, katika viwanja vya TIP Sinza. Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi mkoa wa Kinondoni Murilo Jumanne aliyekuwa eneo la tukio, amesema wameamua kuwakamata watu hao kwa kuwa wanatishia amani na utulivu wa nchi. "Wale wenye nia mbaya...
Read More

No comments:

Post a Comment