Watu 14 wametiwa mbaroni katika mji mkuu wa Uganda kampala kufuatia maandamano ya kupinga mapendekezo ya muswada wa sheria unaoondoa kikomo cha umri wa mtu anayegombea urais. Katiba ya sasa ya Uganda inasema kuwa kikomo cha mtu kugombea kiti cha urais ni umri wa miaka 75. hivyo mabadiliko yeyote ya katiba yatakayofanywa yatamruhusu Rais wa nchi hiyo Yoweri Museveni kugombea tena urais mwaka...
No comments:
Post a Comment