Zitto Kabwe: Spika Job Ndugai anataka kuzima sakata la Tundu Lissu

Mbunge wa Kigoma Mjini kwa tiketi ya Chama Cha ACT Wazalendo Mh. Zitto Kabwe amefunguka na kusema kuwa Spika wa Bunge Job Ndugai ameibuka sakata lake yeye ili kutaka kufunika nguvu ya wananchi kuhoji juu ya kupigwa risasi Mbunge Tundu Lissu. Zitto Kabwe amesema hayo leo mara tu baada ya Spika wa Bunge Job Ndugai leo bungeni kusema anauwezo wa kumzuia Mbunge huyo asizungumze bungeni hadi mwisho...
Read More

No comments:

Post a Comment