Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA), Ester Amos Bulaya, amesema kuwa yupo katika hatari kubwa kutokana na kufuatiliwa na watu waliovalia mavazi ya kininja nyumbani kwake wilayani Bunda. Bulaya ametoa taarifa hiyo alipokuwa leo na kusema kwamba watu hao walimfuata nyumbani kwake wakiwa na gari aina ya Noah huku wamevaa kininja. Aidha,...
No comments:
Post a Comment