Familia ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu leo imefunguka na kutoa msimamo wake kuhusu jeshi la polisi na kusema hawaoni jitihada zozote kutoka kwenye jeshi hilo kuchunguza jaribio la mauaji ambalo ndugu yao lilimpata Septemba 7, 2017. Mdogo wa Tundu Lissu ambaye anafahamika kwa jina la Vicenti Mughwai Lissu akiongea na waandishi wa habari amesema kuwa wanaona jeshi la polisi halipo 'serious'...
No comments:
Post a Comment