Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye amesema kuzuiwa mikutano ya kisiasa si kuminya demokrasia kwa kuwa kuna bunge ambalo linaweza kutumika kutolea maoni yao. Akihojiwa na kituo cha Televisheni cha KTN kutoka nchini Kenya katika kipindi cha siasa za kanda kuhusu demokrasia katika Afrika, Nape amesema demokrasia inatakiwa kutafsiriwa kulingana na maeneo tuliyopo. “Afrika hatuwezi...

No comments:
Post a Comment