Mahakama nchini Afrika Kusini imetupilia mbali rufaa iliyokuwa imewasilishwa na Rais Jacob Zuma kupinga kufufuliwa kwa mashtaka ya ulaji rushwa dhidi yake. Zuma pamoja na maafisa wengine wakuu wa serikali walituhumiwa kupokea rushwa wakati wa ununuzi wa ndege za kivita, maboti na silaha nyingine. Mwaka 2005 mfanyabiashara Shabir Shaik alituhumiwa kupokea rushwa kutoka katika kampuni inayouza...
No comments:
Post a Comment