Simu ya mkononi ya Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe imechukuliwa na vyombo vya dola kwa uchunguzi dhidi ya tuhuma zinazomkabili. Zitto ambaye ni Mbunge wa Kigoma Mjini, anatuhumiwa kwa makosa ya sheria ya mitandao na takwimu. Mbunge huyo leo Jumanne Novemba 7,2017 amefika kitengo cha uhalifu wa makosa ya kifedha kilichopo Kamata, Kariakoo jijini Dar es Salaam kujua hatima...
No comments:
Post a Comment