Mwanafunzi Aliyesambaza Picha za Nyufa Hostel za UDSM......Jeshi la Polisi Limetaja Sababu za Kumkamata

Mbunge wa serikali ya wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Daruso), Kumbusho Dawson ameachiwa baada ya kuhojiwa na polisi wa kitengo cha makosa ya mtandao. Kumbusho alipelekwa Kituo Kikuu cha Polisi jana Jumanne Desemba 5,2017 akitokea Oysterbay alikokwenda kuripoti asubuhi baada ya kuachiwa kwa dhamana juzi usiku. Wakili Alex Masaba anayewakilisha Kumbusho amesema polisi wamemuachia...
Read More

No comments:

Post a Comment