BREAKING: Tundu Lissu aondoka Nairobi kwenda Ubeljiji kwa matibabu zaidi

Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu ametoka Hospitali ya Nairobi nchini Kenya leo Jumamosi asubuhi kwenda nchini Ubeljiji kwa matibabu zaidi ya kuurejesha mwili wake katika hali yake ya kawaida. Lissu ambaye pia ni Rais wa Chama cha Mawakili wa Tanzania (TLS) ataondoka saa 2.30 asubuhi ya leo Jumamosi na Ndege ya Shirika la Kenya akiambatana na mke wake, Alicia. Lissu ametoka...
Read More

No comments:

Post a Comment