Mtandao wa wanafunzi Tanzania (TSNP) na Chama cha ACT-Wazalendo wamemwomba Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba kujiuzulu ili kuonyesha uwajibikaji kwa maelezo kuwa ameshindwa kusimamia amani. TSNP imetoa kauli hiyo leo Februari 18, 2018 ikiwa ni siku moja tangu kupigwa risasi kwa mwanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji cha Taifa (NIT), Akwilina Akwiline aliyekuwa katika...
No comments:
Post a Comment