Mbunge Kigoma Mjini (ACT- Wazalendo), Zitto Kabwe amemtembelea Tundu Lissu nchini Ubelgiji anakoendelea na matibabu ya viungo na saikolojia tangu Januari 7, 2018. Lissu ambaye ni mbunge wa Singida Mashariki anapata matibabu hayo baada ya kushambuliwa kwa risasi Septemba 7, 2017 akiwa nje ya makazi yake mjini Dodoma. Awali mbunge huyo alipatiwa matibabu katika Hospitali ya Dodoma...
No comments:
Post a Comment