Wakristo kote nchini wametakiwa kujipanga kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka 2019 wa madiwani na wenyeviti wa serikali za mitaa na viongozi wa vitongoji kwa kumchagua mtu asiyewafanya waishi kwa kuogopaogopa. Kauli hiyo imetolewa jana Machi 30 na Mhashamu Askofu Evarist Chengula alipokuwa akiongoza ibada ya Ijumaa Kuu iliyofanyika kitaifa katika kanisa Katoliki la Bikira Maria wa Fatma lililopo...
No comments:
Post a Comment