Baada ya Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Juliana Shonza kukataa kumjibu Diamond, msanii huyo ameibuka tena yakiwa ni masaa takribani 23 yamepita tangu alipomjia juu kupitia kipindi cha The Playlist. Diamond ameonekana kukerwa na majibu ya Naibu Waziri Shonza ambayo amekuwa akiyatoa kuhusu kufungia nyimbo za wasanii bila ya kuwapa taarifa sahihi na kuamua kumjibu kwa mara nyingine...
No comments:
Post a Comment