Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Vicent Mashinji amehojiwa na polisi kwa saa mbili na kuachiwa kwa dhamana. Wakati Mashinji akihojiwa, vigogo wengine watano wa chama hicho alioambatana nao hawakuhojiwa, badala yake wote kwa pamoja wametakiwa kuripoti tena Kituo Kikuu cha polisi Machi 13, 2018. Mmoja wa mawakili wa viongozi hao Alex Massaba amesema Dk Mashinji amehojiwa kwa tuhuma za kusababisha...
No comments:
Post a Comment