Walichokisema CHADEMA Baada ya Freeman Mbowe na Salum Mwalim Kuripoti Polisi Jana

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakielewi lengo la Jeshi la Polisi mpaka sasa limekusudia kuwafanyia kitu gani viongozi wa Chadema kwa madai wanaitwa kila uchao halafu hakuna kinachojadiliwa kuhusiana na wito wao. Hayo yameelezwa jana mchana  na Mkurugenzi wa Itifaki na Mawasiliano ya Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema  baada ya  Mwenyekiti wa chama hicho...
Read More

No comments:

Post a Comment