Askofu Banzi: Tuwaheshimu Marehemu, Tusiwafunge Kwenye Viroba

Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Tanga, Mhashamu Anthony Banzi ameitaka jamii kuiheshimu miili ya marehemu kwa kuwapa maziko ya heshima badala ya kuwafunga kwenye viroba na kuwatupa kwenye maji. Amesema jambo ambalo si zuri machoni kwa wanadamu na kwa Mwenyezi Mungu na pia inakiuka utamaduni wetu kama Watanzania ambapo ameitaka jamii kubadilika kwa vitendo vya namna kwani vinaondoa utu wao. Ameyasema...
Read More

No comments:

Post a Comment