Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linawashikilia watu 27 wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Chadema kwa tuhuma za kufanya fujo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakati kesi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ikiendelea mahakamani hapo. Kwa mujibu wa Kamanda Mambosasa wanaoshikiliwa ni wanaume 20 na wanawake saba, ambao walikamatwa katika eneo la Mahakama hiyo...
No comments:
Post a Comment