Watu watano wamefariki dunia na wengine 36 kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria kutoka Mwanza kwenda Bukoba kupinduka. Akizungumza leo Juni 17, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Mponjoli Mwabulambo amesema ajali hiyo iliyohusisha basi la King Msukuma na gari ndogo aina ya Harrier ilitokea jana asubuhi eneo la Kasamwa wilayani Geita. Mabasi ya King Msukuma yanamilikiwa na mbunge...

No comments:
Post a Comment