Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeshindwa kuendelea kusikiliza kesi inayowakabili Viongozi wa CHADEMA kwa sababu Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe amefiwa na kaka yake. Pia mahakama hiyo imeagiza mshtakiwa wa 5, Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko kuhakikisha anafika mahakamani katika tarehe ijayo kinyume na hapo atachukuliwa hatua. Katika kesi hiyo ya kufanya maandamano washtakiwa...
No comments:
Post a Comment