Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kupitia Katibu Mkuu wake Dkt. Vicent Mashinji wameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kusimamia haki katika uchaguzi mdogo wa Ubunge na udiwani ambao umepangwa kufanyika Agosti 12 mwaka huu kwa kata 77 za Tanzania Bara. Dkt. Mashinji ametoa Kauli hiyo leo Julai 12, 2018 wakati akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam na kuitaka Tume...


No comments:
Post a Comment