Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimedai sababu kubwa ya kuondoka aliyekuwa Mbunge wa Ukonga na mwanachama wa chama hicho, Mwita Waitara ni kutokana na hofu ya kukosa Ubunge mwaka 2020 kutoka na safu yake ya viongozi kushindwa kupata nafasi. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Itifaki na Mawasiliano ya Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema ikiwa imepita siku moja tokea Mbunge huyo...
No comments:
Post a Comment