Live Video: Tazama Ndege mpya ya Tanzania Boeing 787-8 Dreamliner Ilivyowasili Nchini

Tazama hapa moja kwa kutoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, ndege mpya ya Tanzania aina ya Boeing 787-8 Dreamliner ikiwasili ikitokea, Seattle nchini Marekani. Ndege hiyo ni ya nne kuwasili kati ya saba zilizonunuliwa na Serikali ya Tanzania kwa ajili ya kuliwezesha shirika la ndege la Tanzania (ATCL) ili kuimarsha huduma za...
Read More

No comments:

Post a Comment