Mabasi 47 Ya Kampuni ya Mohamed Trans Kupigwa Mnada Kufidia Mkopo

Kampuni ya Udalali ya MEM imetangaza kuyauza mabasi 47 ya Kampuni ya Mohamed Trans, baada ya mmiliki wake kushindwa kurejesha mikopo anayodaiwa.   Mkugenzi wa Kampuni ya MEM, Eliezer Mbwambo, alisema mabasi hayo yatanadiwa kwenye mnada wa hadhara Julai 21 na 28, mwaka huu, mkoani Shinyanga. Alisema mbali na mabasi hayo, pia watauza viwanja na nyumba ambavyo vinamilikiwa na mfanyabiashara...
Read More

No comments:

Post a Comment